Mratibu wa Taifa wa Tanzania Tuitakayo aeleza kinagaubaga kuhusu historia ya Tanzania tangu ipate uhuru na matarajio kwa miaka 60 ijayo.
Bwana Ntimi Charles aeleza ukweli wa mambo na kufumbua mafumbo magumu kuhusu Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassani asisitiza utekelezaji wa falsafa yake 4R
Soma ZaidiBw. Ntimi Charles afafanua kwa undani mambo mengi ambayo vijana wengi hawayajui na hawaambiwi ukweli kuhusu Tanzania ikiwa ni pamoja na masuala ya mikopo na mambo mengine yanayoendelea nchini. Aidha Bw. Charles ametoa wito kwa wazee wote kuwaambia ukweli vijana kwakua ndio taifa la kesho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, afafanua ukweli kuhusu falsafa yake ya 4R ikiwa ni sehemu ya kusisitiza uzingatiaji wa falsafa hii muhimu ili kufikia malengo ya Tanzania Tuitakayo miaka 60 ijayo (2021-2081)
Gumzo Bunguni kuhusu kipi kipewe kipaumbele ili kujenga Tanzania yenye Maridhiano, Mabadiliko, Ustahimilivu na kujenga upya. Kutokana na umuhim wa mjadala huu watanzania wamepata nafasi ya kuchangia mawazo yao ambapo wabunge wao watayawasilisha bungeni kwa niaba ya wananchi wao